Dhambi ya ulimwengu ni dhambi gani? Podcast By  cover art

Dhambi ya ulimwengu ni dhambi gani?

Dhambi ya ulimwengu ni dhambi gani?

Listen for free

View show details

Karibu katika kipindi cha maswali Yahusuyo Imani, Mwezeshaji wa kipindi ni Daudi Fungameza kutoka Seminari Kuu Ya Mtakatifu Augustino Jimbo Kuu La Songea, akijibu swali la msikilizaji Dhambi ya ulimwengu ni dhambi gani?

L'articolo Dhambi ya ulimwengu ni dhambi gani? proviene da Radio Maria.

No reviews yet