Fahamu maana ya baraza la Maaskofu Podcast By  cover art

Fahamu maana ya baraza la Maaskofu

Fahamu maana ya baraza la Maaskofu

Listen for free

View show details

Karibu katika kipindi cha maswali Yahusuyo Imani, Mwezeshaji wa kipindi ni Desderius Mwangaluka kutoka Seminari Kuu Ya Mtakatifu Augustino Jimbo Kuu La Songea, akijibu swali la msikilizaji nini maana ya baraza la maaskofu?

L'articolo Fahamu maana ya baraza la Maaskofu proviene da Radio Maria.

No reviews yet