• Taarifa ya Habari: Serikali yachukua hatua yakupunguza bei ya mafuta nchini baada ya siku kadhaa za shinikizo
    Mar 31 2026
    Waziri Mkuu amesema serikali yake imechukua hatua ya kupunguza bei ya mafuta kote nchini, kwa sababu hata kama vita vitaisha mara moja, madhara ya kiuchumi yataendelea.
    Show more Show less
    14 mins
  • SBS Learn Eng Ep 104 Makala ya ziada: Jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani
    Mar 31 2026
    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani?
    Show more Show less
    5 mins
  • Australia Yafafanuliwa: Pasaka ya Australia:Kuchunguza mila za kijamii na kitamaduni zaidi ya dini
    Mar 31 2026
    Pasaka inachukuliwa kuwa likizo muhimu zaidi katika kalenda ya Kikristo.
    Show more Show less
    15 mins
  • Taarifa ya Habari: Ongezeko ya bei ya mafuta yalazimisha serikali izingatie hatua zakufanyia kazi nyumbani
    Mar 30 2026
    Hatua za kufanyia kazi nyumbani zinaweza wasilishwa lakini mgao wa mafuta hauzingatiwi, na viongozi wanaohudhuria mkutano wa kitaifa wa baraza la mawaziri leo kuhusu mgogoro wa mafuta.
    Show more Show less
    7 mins
  • SBS Learn Eng Ep 70 Jinsi yakufanya mazungumzo wakati wa BBQ
    Mar 30 2026
    Je, unajua jinsi ya kufanya mazungumzo wakati wa BBQ?
    Show more Show less
    12 mins
  • Taarifa ya Habari: Vituo na Wasambazaji kupewa faini ya milioni $100 wakiongeza bei ya mafuta kwa njia bandia
    Mar 27 2026
    Vituo vya mafuta na wasambazaji watakaopatikana wakiongeza bei kutokana na vita vya Mashariki ya Kati watakabiliwa na adhabu mpya kali.
    Show more Show less
    14 mins
  • Mgogoro wa nishati unaokuja una athari kubwa na kali
    Mar 27 2026
    Shirika la Nishati la Kimataifa linaonya viongozi wa dunia huenda hawathamini, kina cha mgogoro wa nishati unaokaribia, huku vita vya Marekani na Iran vikiendelea.
    Show more Show less
    13 mins
  • Taarifa ya Habari: Serikali za Australia na Ujerumani za imarisha uhusiano wa usalama
    Mar 26 2026
    Waziri wa ulinzi wa Ujerumani amekutana na mwenzake wa Australia Richard Marles, katika ziara ya kwanza ya mtu aliyehudumu katika nafasi hiyo katika kipindi cha miaka 8.
    Show more Show less
    5 mins